Karibu Sana Boss

Ndoto ya Kumiliki iPhone imerahisishwa zaidi 2026

Maliza Mwaka Kibabe kwa Kumiliki iPhone ya Ndoto zako kwa MKOPO Rahisi na Nafuu

Anza na Asilimia 40% upate Mkopo wa hadi Miezi Mitatu na ufanye Malipo Kila Week

Baada ya kufanya malipo kwa kianzio cha asilimia 40% utachukua simu yako na utakua ukifanya marejesho kila wiki kwa muda wa miezi mitatu (Wiki 12) TU.

Anza na Asilimia 50% upate Mkopo wa kulipa kila Mwezi.

Mara Tatu Tu. Unakua umemaliza.

Baada ya kufanya malipo kwa kianzio cha asilimia 50% utachukua simu yako na utakua ukifanya marejesho kila mwezi kwa muda wa miezi mitatu (Mara 3) TU.

Kwa Huduma hii ya Mkopo wa iPhone Tupigie sasa hivi

0622 873 709

Tutumie Ujumbe wa iPhone uipendayo kwenye

Whatsapp Yetu

Mfano "iPhone 16 Pro Max"